• peterngumba 26w

  Mapenzi ya barua

  Najuta ni vipi mimi, na akili yangu changa.
  Barua sikwandikami, kwa wavalioa kanga.
  Sikuyaonja mapenzi, ya posta na baruaze.

  Na umachachari wangu, sikuweza kueleza.
  Hisia za penzi langu, nasasa ninaduwaza.
  Sikuyaonja mapenzi, na huba kwenye barua.

  Nilifanya nini enzi, hizo za mapenzi ya saduku.
  Yani posta na mapenzi,haikuwa marufuku.
  Sikuyaonja mapenzi, na huba kwenye barua
  @peshphotographyke
  @peteshsembastian
  #mashairihapandipo