• poetjb 6w

  *WAJINGA NYINYI*


  Ni ukweli King Kaka ameniinspire kuandika hii piece ata ka bado sikuwa at peace ju siwezi sema am proud to be a Kenya,
  Tuko fucked up as a country, nothing is ever serious to us, kila mtu analilia maslahi yake bila kujali neiba wake,
  Mwenye alisema love is blind I guess hakuwa ameona how Kenyans are blind when it comes to choosing their leaders,
  Tunaendelea kuvote worse leaders as time goes by nikaa our blindness imekuwa contagious,
  Si hucelebrate madaraka, but hio kwangu its just hypocrisy, mau mau walilala kwa msitu wakipigania uhuru for us to be *'colonised'* by their children,
  Hizi viti hurotate kwa the same families but its just us Kenyans, we never learn ni ka hii lesson mwalimu anafunza ka kila mtu ako absent minded, tunalet our tribe devide us, so acha nifute hii blackboard ya Our deforested culture na nieke pilipili kiasi kwa duster nione ka hio dust itafanya mkohoe the amnesia out n come back to your senses,
  Ttunaishi kwa amani but mwaka wa uchaguzi si hupigana marungu tukiuana juu tu hatuko from the same tribe, siongei kuhusu hii rungu ya mayut atakaa mimi ni kijana na tuliambiwa ujana ni moshi,
  *Wacha niwaroge kiasi na ngoso ka you guy my guy,*
  *We are one stupid country as a whole, we are lost in our own foolish greed, every one wants to have a piece of this cake, but the crazy thing is, The most idiotic crap we do is that we give this so called leaders the whole cake over and over again but they never share a piece to us but we never learn, we keep doing this over and over again*
  Usilie serikali "saidia" na wewe ulipea fisi butchery iilinde, usishtuke ikikula nyama zote,
  Vitu hua hazikuji in a silver plata but design hawa 'leaders' hututerorize ka Osama utadhani hii kenya ndo headquater ya ISIS, corruption imekuwa ka religion kila leader anataka kuget born again, ka unaelewa,
  Uliza huyu pasii alipewa pesa kwa bag ka hizo pesa zinaeza nunua ticko ya kwenda heaven nibuy yangu niende nikabonge na mungu, nimpelekee hii ombi,
  Siwezi kosa kukneel mbele yake ata ka mwenye anapreach ni mwendwazimu, uliza nga'ng'a hypocrisy ni nini atabaki amekutuma kwa Kanyari ju ata huyu kuria ashachukua kushoto ata ka owour ni.........
  Ni time ya change but ile Amnesia ilipiga wakenya labda mungu aiponye, tutakuwa na heated discussions kwa hii topic but trust you me tutaturn a blind eye with time,
  Siogopi ata watume huyo sniper anitake out but I will still take my shot kwa kushare hii piece nikihope itafungua watu macho,
  Jicho pevu iliturn Jicho mbovu once huyu Ali aliingia mbunge,
  Hii kiti huchange kila mtu atakaa si wewe ulilipa bill bado itakuchange,
  *mi siko proud to be a Kenyan even though we are a great country, am just proud of the people who fly our flag up high all over the world, watu ka Kipchoge, but hawa tulipigia kura walikalia viti wakaanza kula tu,
  Mlitenda Miguna Miguna but heri yeye mmoja kuliko nyi wote, such an Irony, mlifukuza our messiah tukabaki tu na hawa fake Issaih,
  Mshaanza kutisha king kaka bt ata mfanyenye nini tusharecieve his message,
  This is a wake up call, kwa wale huwa hawaamki haraka tushamsetia alarm atleast mharakishe kuamka,
  Kwa pieces ka hizi ntaremain anonymous si ju naogopa but nijuu naongea on behalf of many Kenyans,
  Its time for a full change,
  I will be a patriotic Kenyan, the very one time the government will have it's best interest in its poeple,
  Hio line inacarry a lot atakaa punda amechoka.
  Call out for change, coz this is revolution time.
  Be part of it by waking up from that induced mindset comma,
  Its time for a full blown change.

  *Poet JB™*

  #Anonymus_writer����
  #InevitableChange����
  #Kingkaka
  #Reshare

  Read More

  ©poetjb