• glorypoetry 9w

  Nikizungumzia uzuri wa dunia,
  siku zote huwa nakuzungumzia wewe, Mtumishi.
  Wewe ambaye nakupenda Ila naona kama bado sijakuambia vya kutosha!
  Tungo nyingi za ushairi nimejaribu kukuandikia
  Ila
  naona bado hazisemi kwa sauti!
  Nipe anuani yako ya kiroho
  niwe nakuandikia huko basi!
  ┬ęglorypoetry