• glorypoetry 5w

  Kwa habari za upendo,
  uncle Bestfriend
  angekuhadithia juu ya
  manka wake (mama mkubwa).
  Hapo ndiko ungepima kama
  kweli bado unanipenda ama
  ndio unaanza kunipenda,
  Mtumishi.
  ┬ęglorypoetry