• glorypoetry 5w

  Mtumishi

  Nakumbuka enzi zile
  nilikuwa nakaa nyuma,
  huku naishia kukusogeza zaidi kwa Mungu.
  Ila leo,
  naketi ubavuni mwako kama katoto kachanga!!
  Aisee,
  huyu Mungu ni noma sana!
  ┬ęglorypoetry