• gracingdaily 4w

    Samehe

    Chukulianeni na kusamehana, najua si rahisi ila ni lazima kutua mzigo kama Mungu alivyoamua kukusame wewe. Samehe ili ujisikie vizuri moyoni, ili umpendeze Mungu wako. Hamna namna hata wewe umetumiza na tumekusamehe ili tusamehewe na Mungu na moyoni tumekutua.
    - Wakolosai 3:13-
    ©gracingdaily