• jerruman 5w

  psychological torture

  Hii ni one two, psychological torture, moja inatosha wanapigwaga mapocha.
  One two psychological torture, moja inatosha wanapigwaga mapocha.

  Za chembe, za uso
  Ngeu juu ya turu
  Ngumi fuso
  Unajikuta uhuru
  Kodi msururu
  Hodi kipururu
  Gali sukari guru
  Mtaani no njururu
  One two psychological torture, moja inatosha wanapigwaga mapocha.

  Duniani watu wabaya imagine kuna wanaosomea nyoka
  Na mambo yao yananyooka
  Kuna wanaopenda kupayuka
  Na mchana kutwa wamepauka
  Paukwa pakawa
  Pula kawawa
  Kakamatiwa kapagawa
  Hadi kesho anagawa

  Ukianguka amka,ata buti likitoboka
  Where is so called himself the mc dr!
  Ukianguka nani atakuokota?

  Kata kati kati yako ondoka
  Asira za wahuni ni kukataa ulofa
  Macho ya Mungu yaliona na yanatokea
  One two psychological torture, moja inatosha wanapigwaga mapocha.
  ©jerruman