• geraldgeniusgentleman 5w

  geraldgeniusgentleman

  Read More

  KUWAZA NDANI YA BOX

  Kagari - Hiyo ni Gari tu ya kawaida sio kubwa hata .
  Kajumba - Hiyo ni nyumba tu ya kawaida wala hata sio kubwa
  Kabarabara - Hiyo ni Njia tu ya kawaida wala hata sio kubwa.


  Kabati - Hii sasa haijalishi ukubwa wala udogo inaanza na Ka...tu Kabati kama kubwa saana unaweza sema LiKabati

  ©geraldgeniusgentleman