• thinkandact 5w

  Think and act

  Read More

  Heshima binafsi.

  Kamwe usijistahilishe kwenye maisha ya mtu yeyote wala usitengeneze mazingira ya kuonewa huruma ili usaidiwe.
  Tafuta maisha yako fanya kazi kwa bidii ili kuepuka kuwalaumu watu wengine kuwa hawakujali.
  ©thinkandact
  Emmanuel Benjamin